Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote.
Karibu sana kusoma kwenye tovuti ya Kanisa Katoliki, Parokia ya Roho Mtakatifu - Mango, Jimbo katoliki la Moshi.

“Ninayo furaha ya pekee kwa niaba ya wanaparokia wote wa Parokia ya Roho Mtakatifu - Mango, kukualika ndugu msomaji ushiriki na wanaparokia wa parokia yetu kuieneza Injili ya Yesu Kristu kupitia tovuti hii.”
Fr. Emmanuel Tumain - Paroko